Pesa Zako Zinanuka – PDF/EPUB Version Downloadable
$49.99
Author(s): R. Mtobwa
Publisher: University of Nairobi Press
ISBN: 9789966561572
Edition:
Description
Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake, ‘No Money Smells’, kwamba hakuna pesa zinazonuka. Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai “zipo, na zanukaâ€. Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga, huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi. Hata anakutana na huyu ambaye anaambiwa: “Umemuua mwanao … Lazima umle … †Ni riwaya ambayo itakutoa machozi!
